Je, Mwenyezi Mungu anawahesabu vipi waja wake kwa wakati mmoja?

Mwenyezi Mungu anawahesabu waja wake kwa wakati mmoja kama vile anavyowaruzuku kwa wakati mmoja.

"Kuumbwa kwenu na kufufuliwa kwenu ni kama nafsi moja tu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kuona" (Luqman: 28).

PDF