Kwa nini Muumbaji atawaadhibu waja wake adhabu ya milele kutokana na madhambi machache waliyoyafanya katika maisha yao mafupi?

Makosa mengi ya jinai yapelekea mfanyaji wake kuhukumiwa kifungo jela.Je kuna anayesema kubwa hukumu ya jela ni dhuluma, eti kwa sababu mhalifu alifanya uhalifu dakika chache? Je hukumu ya kifungo cha miaka kumi(10) jela ni dhuluma eti kwa sababu mhalifu hakufanya ubadhirifu wa mali ila mwaka mmoja tu?. Adhabu haifungamani na muda aliyotumia mualifu bali inafungamana na ukubwa wa kosa na uzito wa kosa lenyewe.

PDF