Je kuwepo kwa shari katika maisha ni dalili ya kutokuwepo Mungu (Allah)?.

Muulizaji kuhusu uwepo wa shari katika maisha haya ya dunia ni njia ya kukataa uwepo wa Mungu(Allah), unatuonesha maono yake mafupi na fikra yake duni kuhusu hekima iliyopo nyuma ya hilo na kutoweza kuona undani wa mambo. Amekiri mpingaji kwa swali lake la kuwa shari inaepukika.

Kwa sababu hiyo kabla ya kuuliza hekima ya kutokea shari, jambo la kwanza ni kuuliza " vipi heri ilitokea mwanzoni"

Bila shaka jambo la muhimu sana kuuliza hakuna budi kuanza nalo ni: nani aliye leta heri? Lazima tukubaliane katika nukta ya kwanza au muanzilishi wa asili au kiongozi.Hapo sasa tunaweza kupata sababu ya kujiepusha.

Wasomi wanaweka mwanzoni kanuni madhubuti maalum za fizikia,kemia, biolojia . Hapo hutimia tafiti za kujiepusha pia hali zinazopingana na kanuni hizo. Kwa mfano hawawezi wapinzani kushinda ulazima uwepo wa Sharo mpaka sasa wanakiri mwanzoni wepo wa dunia iliyojaa mambo mazuri yanayoonekana,yaliyopangiliwa ambayo hayadhibitiki.

Ukilinganisha vipindi vya uzima wa afya na vipindi ambavyo magonjwa hujitokeza katika wastani wa umri wa mtu au ukilinganisha miongoni ya utajiri na mafanikio dhidi ya nyakati za uharibifu.vilevile karne za utulivu /kimya dhidi ya mlipuko wa volkano na matetemeko , wapi itatokea heri ya kiongozi mwanzoni?.Dunia uliojaa machafuko hauwezi kutengeneza dunia nzuri.

Majaribio ya kisayansi yanatilia nguvu hilo. Kanuni ya pili ya thermodynamics inasema: Enropy kiwango cha tikisika) ipo katika hali ya kutelekezwa bila kuonesha ishara ya nje na itaongezeka milele.Sayansi hizi hakuna kurejelea humo

Kwa maana nyingine, mambo yaliyopangiliwa yataanguka na kupotea milele endapo kama haijakusanya kitu kutoka nje. Kwa mfano huu nguvu ya thermodynamics haitazaa matunda kamwe chochote kizuri chenyewe au iwe nzuri kwa mapana zaidi bila ya muumba kupangilia haya mambo ya wazi yaliyovurugika ambayo yanaonekana kati vitu vyenye kuvutia mfano uzuri, hekima , furaha na mapenzi. Haya yote ni baada ya kuthibitisha kuwa muongozo mkuu ni heri na shari ndio kuepusha. Na yupo Mungu kuweza Muumbaji mfalme mpangiliaji wa mambo.

PDF