Allah ni msamehevu sana na ni mwenye huruma sana kwa wenye waliofanya madhambi bila kuendelea kwa hukumu ya kibinadamu na udhaifu wake kisha akatubia wala hakusudii kumpima Muumbaji , lakini Allah anamuangamiza yule anayempima na anayepinga uwepo wa Allah au anayefanya Mungu sanamu au mnyama. Pia yule aliyezidi kufanya maasi kisha hakutubia na Allah hakutaka atubie kwake. Laiti mwanadamu angemtukana mnyama asingelaumiwa na yeyote,Ama akiwamtukana wazazi wake wawili atalaumiwa sana. Ni ipi hali yetu kwa haki ya muumba? Hatutaakiwi kuangalia udogo wa makosa tunatakiwa tumuangalie yule tunaye muasi.