Muumbaji (Allah) ana huruma mno na waja wake,kwa nini anawakubalia mamilioni ya watu kubwa mashoga?.

Na tulimtuma Lut', alipo waambia watu wake: Je, mnafanya uchafu ambao hajakutangulieni yeyote kwa uchafu huo katika viumbe vyote! 80 Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio mkwawacha wanawake? Kumbe nyinyi ni watu wafujaji! 81 Na haikuwa jawabu ya kaumu yake isipo kuwa kuambizana: Wafukuzeni katika mji wenu, maana hao ni watu wanao jitakasa. "[305]. (AL - A'RAAF:80-82).

Aya hii inasisitiza kuwa ushoga sio jambo la kurithi halifungamani na vinasaba vya binadamu, kwa sababu watu wa nabii Lut ndio wakwanza kuanzisha uchafu huo. Hii inathibitishwa pia na utafiti wa kina wa kisayansi , ambayo unatilia mkazo kubwa ushoga hauna mafungamano na vinasaba. ("Mawsū‘at al-Kahīl lil-I‘jāz fil-Qur’ān wa as-Sunnah" https://kaheel7.net/?p=15851)

Je tuwakubali na tukiheshimu mwenendo cha mwizi kuiba?.Huu pia ni mwenendo, lakini hali zote mbili sio mwenendo mzuri. Kwa sababu ni kutoka katika umbile la kibinadamu, na uadui wa mazingira anatakiwa anyooshwe.

Allah amemuumba mwanadamu akamuongoza katika njia salama na ana uhuru wa kuchagua kati ya njia ya heri na njia ya shari.

Na tukambainishia zote njia mbili? [307]. AL - BALAD:10).

Hizo tunaona jamii ambazo nimeharamisha ushoga ni nadra kuona ushafu huu ukijitokeza. Jamii inayoruhusu na kuchochea tabia hizi ushoga unazidi kuongezeka. Hii inatuonesha kuwa kinachosababisha ushoga kwa binadamu ni mazingira, elimu wale wanaomzunguka.

Tabia ya binadamu inabadilika kila dakika, kwa sababu kuangalia vyombo vya habari au kutumia teknolojia kumpenda mchezaji wa mpira. Kwa kweli utandawazi umemfanya mwanadamu asieleweke. Muongo amekuwa mwenye upeo,shoga amekuwa mwenye tabia nzuri, amekuwa mwenye kutengeneza kanuni katika mijadalo ya wazi, bali niwajibu wetu kumuunga mkono na kuungana naye. Imekuwa ushindi ni kwa yule mwenye teknolojia. Ikiwa shoga ndiyo mwenye nguvu basi atapeleka ushawishi kwa wengine, jambo ambalo litamfanya mwanadamu kupoteza mahusiano yake mwenyewe , jamii pamoja na Muumba wake. Tangu Nadharia ya Ubinafsi ilipokuwa na uhusiano moja kwa moja na ushoga imeharibika umbile la binadamu ambalo hukua humk vinasaba vya binadamu , ikaanguka ufahamu wa familia moja. Wamaghribi wakaanza njia za kujiondoa kutoka katika nadharia ya ubinafsi. Kwa sababu kuendelea na fikra hiyo binadamu atapoteza faida ambayo aliitumia mwanadamu wa zama hizi. Kama alivyopoteza familia jingine ambalo bado wamaghribi mpaka sasa taabika nalo ni matatizo ya kupungua kwa idadi ya watu katika jamii.Jambo lilowapeleka kufungua milango wamajaribio wa kuwaruhusu wahamiaji.Hivyo kumuamini Allah na kuziheshimu sheria za ulimwengu ambazo ameziumba kwa ajili yetu, na kushikamana na amri zake, kujiepusha na makaazi yake ndio njia ya mafanikio duniani na akhera.

PDF