Jawabu: "Alhamdulillaah" Hakika sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu.
3- Na ndugu yake aseme kumwambia ndugu yake: "Yar-hamukallaah" Akuhurumie Mwenyezi Mungu.
Akisema kumwambia hivyo: Basi naye aseme: "Yah-diikumullaahu wayuslih baalakum" Akuongozeni Mwenyezi Mungu na akutengenezeeni mambo yenu". Imepokelewa na Al-Bukhaariy