Jawabu: Ni kubaini na kutafuta aibu za watu pamoja na yale waliyoyasitiri.
Miongoni mwa aina zake za haramu:
- Kuchungulia uchi wa watu majumbani.
-Mtu kusikiliza mazungumzo ya watu bila ya wao kujua.
Amesema Allah Mtukufu: "Na wala msichunguzane". [Suratul Hujurat: 12].