Jawabu: Ni kutegemea kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu katika kuleta manufaa na kuondoa madhara, pamoja na kuchukua sababu.
Amesema Mwenyezi mungu Mtukufu: "Na mwenye kumtegemea Mwenyezi Mungu basi yeye humtosheleza" [Suratu Twalaq: 3.]
Humtosheleza: Yaani: Humtekelezea kila kitu.