Jawabu: Hao ni wake za Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake-.
Amesema Allah Mtukufu: "Nabii ni bora zaidi kwa waumini kuliko nafsi zao, na wake zake ni mama zao". [Suratul Ahzab: 6].